za motomoto

Featured Post

JOB INTERVIEW;MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA HUJAINGIA KUFANYIWA USAILI

Usaili wa kazi ni moja ya mambo ambayo huleta msongo wa mawazo kwa watu wengi. Hofu kubwa uwa ni ya kushindwa kufanya vyema katika...

  • MATANGAZO

    Sunday, August 15, 2021

    RAIS AKIMBIA IKULU




    Rais ashraf Ghani wa Afghanistan mapema leo amekimbilia nchi jirani baada ya wanamgambo kuonekana mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo Kabul.Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habar nchini humo,wanamgambo wa kijihadi wa Taliban wameuzingira mji mkuu wa nchi hiyo pamoja na miji yote mikubwa na maarufu ya Afghanistani.

    No comments:

    Post a Comment

    zaidi

    OLD POST

    NEW POSTS

    MAHUSIANO